Matendo 10:44
Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
While Peter yet spake these words, the Holy Ghost fell on all them which heard the word.
In Context
Cross References
Acts 2:2Ghafla, sauti ikasikika kutoka angani; sauti iliyokuwa kama ya upepo mkali, ikajaza ile nyumba yote walimokuwa wamekaa.
Acts 8:15Walipofika waliwaombea hao waumini ili wampokee Roho Mtakatifu;
Acts 15:8Naye Mungu anayejua mioyo ya watu, alithibitisha kwamba amewakubali kwa kuwapa nao Roho Mtakatifu kama alivyotupa sisi.