Matendo 13:3
Basi, baada ya kusali na kufunga zaidi, wakawawekea mikono, wakawaacha waende zao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when they had fasted and prayed, and laid their hands on them, they sent them away.
In Context
Cross References
Acts 8:15Walipofika waliwaombea hao waumini ili wampokee Roho Mtakatifu;
Acts 13:2Walipokuwa wanafanya ibada yao kwa Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu alisema: “Niteulieni Barnaba na Saulo kwa ajili ya kazi niliyowaitia.”
Acts 14:26Kutoka huko walisafiri kwa meli wakarudi Antiokia ambako hapo awali walikuwa wamewekwa chini ya ulinzi wa neema ya Mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.
Romans 10:15Na watu watahubirije kama hawakutumwa? Kama yasemavyo Maandiko Matakatifu: “Ni jambo la kupendeza mno kuja kwa wale wanaohubiri Habari Njema!”
1 Timothy 5:22Usiharakishe kumwekea mtu yeyote mikono kwa ajili ya kumtumikia Bwana. Usishiriki dhambi za wengine; jiweke katika hali safi.