Matendo 14:9
Mtu huyo alikuwa anamsikiliza Paulo alipokuwa anahubiri. Paulo alimtazama kwa makini, na alipoona kuwa alikuwa na imani ya kuweza kuponywa,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 9:22Basi, Yesu akageuka akamwona, akamwambia, “Binti, jipe moyo! Imani yako imekuponya.” Mama huyo akapona saa ileile.
Matthew 13:58Kwa hiyo, hakutenda miujiza mingi pale kwa sababu ya kutoamini kwao.
Mark 1:40Mtu mmoja mwenye ukoma alimwendea Yesu, akapiga magoti, akamwomba, “Ukitaka, waweza kunitakasa!”
Mark 2:11“Nakwambia simama, chukua mkeka wako uende nyumbani!”
Mark 10:52Yesu akamwambia, “Nenda, imani yako imekuponya.” Mara huyo kipofu akaweza kuona, akamfuata Yesu njiani.