Mathayo 9:22
Basi, Yesu akageuka akamwona, akamwambia, “Binti, jipe moyo! Imani yako imekuponya.” Mama huyo akapona saa ileile.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
21Alifanya hivyo kwani alifikiri moyoni: “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
Cross References
Matthew 9:29Hapo Yesu akayagusa macho yao, akasema, “Na iwe kwenu kama mnavyoamini.”
Matthew 17:18Basi, Yesu akamkemea huyo pepo, naye akamtoka, na yule mtoto akapona wakati huohuo.
Mark 10:52Yesu akamwambia, “Nenda, imani yako imekuponya.” Mara huyo kipofu akaweza kuona, akamfuata Yesu njiani.
Luke 8:48Yesu akamwambia, “Binti, imani yako imekuponya. Nenda kwa amani.”
Luke 18:42Yesu akamwambia, “Ona! Imani yako imekuponya.”
Acts 14:9Mtu huyo alikuwa anamsikiliza Paulo alipokuwa anahubiri. Paulo alimtazama kwa makini, na alipoona kuwa alikuwa na imani ya kuweza kuponywa,