Matendo 21:37
Walipokuwa wanamwingiza ndani ya ngome, Paulo alimwomba mkuu wa jeshi akisema, “Naweza kukwambia kitu?” Yule mkuu wa jeshi akamjibu, “Je unajua Kigiriki?
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
36Kwa maana kundi kubwa la watu walimfuata wakipiga kelele, “Muulie mbali!”
Cross References
Matthew 10:18Mtapelekwa mbele ya watawala na wafalme kwa sababu yangu, mpate kutangaza Habari Njema kwao na kwa mataifa.
Acts 19:30Paulo mwenyewe alitaka kuukabili huo umati wa watu, lakini wale waumini walimzuia.
Acts 21:34Wengine katika lile kundi la watu walikuwa wanapayuka kitu hiki na wengine kitu kingine. Kwa sababu ya ghasia hiyo, mkuu wa jeshi hakufaulu kujua kisa kamili. Hivyo, aliamuru watu wake wampeleke Paulo ndani ya ngome.