Matendo 26:8
Kwa nini ninyi mnaona shida sana kuamini kwamba Mungu huwafufua wafu?
Biblia Takatifu
In The King James Version
Why should it be thought a thing incredible with you, that God should raise the dead?
In Context
Cross References
Luke 1:37Kwa maana hakuna jambo lisilowezekana kwa Mungu.”
John 5:28Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Acts 10:40lakini Mungu alimfufua siku ya tatu, akamfanya aonekane
Acts 17:31Kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua. Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka wafu!”
Acts 25:19Ila tu walikuwa na mabishano kadhaa pamoja naye kuhusu dini yao na kuhusu mtu mmoja aitwaye Yesu ambaye alikufa, lakini Paulo anashikilia kwamba yu hai.