Yohana 5:28
Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
27Tena amempa mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni Mwana wa Mtu.
Cross References
John 3:7Usistaajabu kwamba nimekwambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
John 5:20Baba ampenda Mwana, na humwonyesha kila kitu anachokifanya yeye mwenyewe, tena atamwonyesha mambo makuu kuliko haya, nanyi mtastaajabu.
John 11:24Martha akamjibu, “Najua kwamba atafufuka wakati wa ufufuo, siku ya mwisho.”
1 Corinthians 15:22Kama vile watu wote wanavyokufa kwa kujiunga na Adamu, vivyo hivyo wote watafufuliwa kwa kuungana na Kristo.