Matendo 27:25
Hivyo, waheshimiwa, jipeni moyo! Maana ninamwamini Mungu kwamba itakuwa sawa kama nilivyoambiwa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Wherefore, sirs, be of good cheer: for I believe God, that it shall be even as it was told me.
In Context
26Lakini ni lazima tutatupwa ufukoni mwa kisiwa fulani.”
Cross References
Luke 1:45Heri yako wewe uliyesadiki kwamba yatatimia yale Bwana aliyokwambia.”
Acts 27:21Baada ya kukaa muda mrefu bila kula chakula, Paulo alisimama kati yao, akasema, “Waheshimiwa, ingalikuwa afadhali kama mngalinisikiliza na kuacha kusafiri kutoka Krete. Kama mngalifanya hivyo tungaliiepuka shida hii na hasara hizi zote.
Romans 4:20Abrahamu hakuionea mashaka ile ahadi ya Mungu; alipata nguvu kutokana na imani, akamtukuza Mungu.