Matendo 3:4
Petro na Yohane walimkodolea macho, naye Petro akamwambia, “Tutazame!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Peter, fastening his eyes upon him with John, said, Look on us.
In Context
3Alipowaona Petro na Yohane wakiingia Hekaluni, aliwaomba wampe chochote.
5Naye akawageukia, akitazamia kupata kitu kutoka kwao.
Cross References
John 5:6Naye alipomwona huyo mtu amelala hapo, akatambua kwamba alikuwa amekaa hapo kwa muda mrefu, akamwuliza, “Je, wataka kupona?”
Acts 3:12Basi, Petro alipowaona watu hao akawaambia, “Wananchi wa Israeli, kwa nini mnashangazwa na jambo hili? Mbona mnatukodolea macho kana kwamba ni kwa nguvu zetu au utakatifu wetu sisi wenyewe tumemfanya mtu huyu aweze kutembea?
Acts 14:9Mtu huyo alikuwa anamsikiliza Paulo alipokuwa anahubiri. Paulo alimtazama kwa makini, na alipoona kuwa alikuwa na imani ya kuweza kuponywa,