Matendo 5:15
Kwa sababu hiyo, watu walikuwa wakipeleka wagonjwa barabarani na kuwalaza juu ya vitanda na mikeka ili Petro akipita, walau kivuli chake kiwaguse baadhi yao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
14Idadi ya watu waliomwamini Bwana, wanaume kwa wanawake, iliongezeka zaidi na zaidi.
Cross References
Matthew 9:21Alifanya hivyo kwani alifikiri moyoni: “Nikigusa tu vazi lake, nitapona.”
John 14:12Kweli nawaambieni, anayeniamini atafanya mambo ninayofanya mimi; naam, atafanya hata makuu zaidi, maana nakwenda kwa Baba.
Acts 28:9Kutokana na tukio hilo, wagonjwa wote katika kile kisiwa walikuja wakaponywa.