Matendo 5:16
Watu wengi walifika kutoka katika miji ya kando kando ya Yerusalemu, wakiwaleta wagonjwa wao na wale waliokuwa na pepo wachafu, nao wote wakaponywa.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 8:16Ilipokuwa jioni, walimletea watu wengi waliokuwa wamepagawa na pepo; naye, kwa kusema neno tu, akawafukuza hao pepo. Aliwaponya pia watu wote waliokuwa wagonjwa.
Mark 2:3wakati mtu mmoja aliyepooza alipoletwa kwake akiwa amechukuliwa na watu wanne.
Mark 16:17Na ishara hizi zitaandamana na wale wanaoamini: kwa jina langu watatoa pepo na watasema kwa lugha mpya.
Luke 6:18Aliwaponya pia wote waliokuwa wanasumbuliwa na pepo wachafu.
John 14:12Kweli nawaambieni, anayeniamini atafanya mambo ninayofanya mimi; naam, atafanya hata makuu zaidi, maana nakwenda kwa Baba.
1 Corinthians 12:9Roho huyohuyo humpa mmoja imani, na humpa mwingine kipaji cha kuponya;