Matendo 5:33
Wajumbe wote wa lile Baraza waliposikia hayo, wakawaka hasira, hata wakaamua kuwaua.
Biblia Takatifu
In The King James Version
When they heard that, they were cut to the heart, and took counsel to slay them.
In Context
Cross References
Matthew 10:25Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa wamemwita mkubwa wa jamaa Beelzebuli, je hawatawaita watu wengine wa jamaa hiyo majina mabaya zaidi?
Matthew 24:9“Kisha watawatoeni ili mteswe na kuuawa. Mataifa yote yatawachukieni kwa ajili ya jina langu.
Luke 6:11Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.
Luke 19:45Kisha, Yesu aliingia Hekaluni, akaanza kuwafukuzia nje wafanyabiashara