Luka 6:11
Lakini wao wakakasirika sana, wakajadiliana jinsi ya kumtendea Yesu maovu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they were filled with madness; and communed one with another what they might do to Jesus.
In Context
12Siku moja Yesu alikwenda mlimani kusali, akakesha huko usiku kucha akimwomba Mungu.
Cross References
Matthew 12:14Basi, Mafarisayo wakatoka nje, wakashauriana jinsi watakavyomwangamiza Yesu.
Luke 4:28Wote waliokuwa katika lile sunagogi waliposikia hayo walikasirika sana.
John 11:47kwa hiyo makuhani wakuu na Mafarisayo wakafanya kikao cha Baraza kuu, wakasema, “Tufanye nini? Mtu huyu anafanya ishara nyingi mno.
Acts 4:19Lakini Petro na Yohane wakawajibu, “Amueni ninyi wenyewe kama ni haki mbele ya Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii yeye.
Acts 7:54Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.