Matendo 7:54
Wale wazee wa Baraza waliposikia hayo, walighadhibika sana, wakamsagia meno kwa hasira.
Biblia Takatifu
In The King James Version
When they heard these things, they were cut to the heart, and they gnashed on him with their teeth.
In Context
53Ninyi mliipokea ile Sheria iliyoletwa kwenu na Malaika, lakini hamkuitii.”
Cross References
Matthew 8:12Lakini wale ambao wangalipaswa kuwa katika Ufalme huo watatupwa nje, gizani, ambako watalia na kusaga meno.”
Matthew 13:50na kuwatupa hao wabaya katika tanuru ya moto. Huko watalia na kusaga meno.”
Matthew 24:51Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Luke 13:28Ndipo mtakuwa na kulia na kusaga meno, wakati mtakapowaona Abrahamu, Isaka na Yakobo, na manabii wote wapo katika Ufalme wa Mungu, lakini ninyi wenyewe mmetupwa nje!