Mathayo 24:51
Atamkatilia mbali na kumweka kundi moja na wanafiki. Huko kutakuwa na kilio na kusaga meno.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
50bwana wake atakuja siku asiyoitazamia na saa asiyoijua.
Cross References
Matthew 22:13Hapo mfalme akawaambia watumishi, Mfungeni miguu na mikono mkamtupe nje gizani; huko atalia na kusaga meno.”
Luke 12:46bwana wake atarudi siku asiyoitazamia na saa asiyoijua; atamkatilia mbali na kumweka fungu moja na wasioamini.