Matendo 9:7
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the men which journeyed with him stood speechless, hearing a voice, but seeing no man.
In Context
6Lakini simama sasa, uingie mjini na huko utaambiwa unachopaswa kufanya.”
Cross References
Matthew 24:40Wakati huo watu wawili watakuwa shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.
Acts 22:9Wale wenzangu waliuona ule mwanga lakini hawakusikia sauti ya yule aliyeongea nami.