Wakolosai 1:7
Mlijifunza juu ya neema ya Mungu kutoka kwa Epafra, mtumishi mwenzetu, ambaye ni mfanyakazi mwaminifu wa Kristo kwa niaba yetu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
As ye also learned of Epaphras our dear fellowservant, who is for you a faithful minister of Christ;
In Context
8Yeye alitupa habari za upendo wenu mliojaliwa na Roho.
Cross References
Matthew 24:45Yesu akaendelea kusema, “Ni nani basi mtumishi mwaminifu na mwenye busara, ambaye bwana wake atamweka juu ya watu wake, awape chakula kwa wakati wake?
1 Corinthians 4:2Kinachotakiwa kwa yeyote yule aliyekabidhiwa kazi ni kuwa mwaminifu.
1 Corinthians 7:25Sasa, kuhusu mabikira na waseja, sina amri kutoka kwa Bwana; lakini natoa maoni yangu mimi ambaye kwa huruma yake Bwana nastahili kuaminiwa.
Ephesians 5:21Kila mmoja amstahi mwenzake kwa sababu ya kumcha Kristo.
Colossians 4:12Epafra, mwananchi mwenzenu na mtumishi wa Kristo Yesu anawasalimuni. Daima anawaombeeni ninyi kwa bidii ili mpate kusimama imara, mkomae na kuwa thabiti kabisa katika mambo yote anayotaka Mungu.