bible.software › Waebrania › Waebrania 11 › Waebrania 11:24
Waebrania 11:24
Kwa imani Mose alipokuwa mtu mzima, alikataa kuitwa mwana wa binti Farao.
Biblia Takatifu
In The King James Version
By faith Moses, when he was come to years, refused to be called the son of Pharaoh’s daughter;
In Context
23Kwa imani wazazi wa Mose walimficha huyo mtoto kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuzaliwa kwake. Walimwona kuwa ni mtoto mzuri, wala hawakuiogopa amri ya mfalme.
25Aliona ni afadhali kuteseka pamoja na watu wa Mungu kuliko kufurahia raha ya dhambi kwa kitambo kidogo.
Read all of Waebrania 11
Cross References
Acts 7:21na alipotolewa nje, binti wa Farao alimchukua, akamlea kama mtoto wake.
This Verse In Other Editions
Study Waebrania 11:24