Waebrania 7:24
Lakini Yesu si kama wao, yeye anaishi milele; ukuhani wake hauondoki kwake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
But this man, because he continueth ever, hath an unchangeable priesthood.
In Context
Cross References
John 12:34Basi, umati huo ukamjibu, “Sisi tunaambiwa na Sheria yetu kwamba Kristo atadumu milele. Wawezaje basi, kusema ati Mwana wa Mtu anapaswa kuinuliwa? Huyo Mwana wa Mtu ni nani?”
Hebrews 7:8Tena, hao makuhani wanaopokea sehemu ya kumi, ni watu ambao hufa; lakini hapa anayepokea sehemu ya kumi, yaani Melkisedeki, anasemekana kwamba hafi.
Hebrews 13:8Yesu Kristo ni yuleyule, jana, leo na milele.