Yakobo 3:18
Uadilifu ni mazao ya mbegu ambazo wapenda amani hupanda katika amani.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the fruit of righteousness is sown in peace of them that make peace.
In Context
Cross References
John 4:36Mvunaji anapata mshahara wake, na anakusanya mavuno kwa ajili ya uzima wa milele; hivyo mpandaji na mvunaji watafurahi pamoja.
James 1:20Mwenye hasira hawezi kutimiza matakwa ya Mungu yaliyo ya haki.