Yohana 1:11
Alikuja katika nchi yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.
Biblia Takatifu
In The King James Version
He came unto his own, and his own received him not.
In Context
12Lakini wale wote waliompokea na kumwamini, hao aliwapa uwezo wa kuwa watoto wa Mungu.
Cross References
Matthew 15:24Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”
Luke 20:13Yule mwenye shamba akafikiri: Nitafanya nini? Nitamtuma mwanangu mpenzi; labda watamjali yeye.
Acts 3:25Ahadi zile Mungu alizotoa kwa njia ya manabii ni kwa ajili yenu; na mnashiriki lile agano Mungu alilofanya na babu zenu, kama alivyomwambia Abrahamu: Kwa njia ya wazawa wako, jamaa zote za dunia zitabarikiwa.
Acts 13:26“Ndugu, ninyi mlio watoto wa ukoo wa Abrahamu, na wengine wote mnaomcha Mungu! Ujumbe huu wa wokovu umeletwa kwetu.
Acts 21:6Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli nao wakarudi makwao.
Romans 9:5Wao ni wajukuu wa mababu, naye Kristo, kadiri ya ubinadamu wake, ametoka katika ukoo wao. Mungu atawalaye juu ya yote, na atukuzwe milele! Amina.