Yohana 1:43
Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
44Filipo alikuwa mwenyeji wa Bethsaida, mji wa akina Andrea na Petro.
Cross References
Matthew 4:18Yesu alipokuwa anatembea kando ya ziwa Galilaya, aliwaona ndugu wawili wavuvi; Simoni (aitwae Petro) na Andrea, ndugu yake; walikuwa wakivua samaki kwa nyavu ziwani.
Matthew 10:3Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
John 1:28Mambo haya yalifanyika huko Bethania, ng'ambo ya mto Yordani ambako Yohane alikuwa anabatiza.
John 1:37Hao wanafunzi walimsikia Yohane akisema maneno hayo, wakamfuata Yesu.
John 6:7Filipo akamjibu, “Mikate ya denari mia mbili za fedha haiwatoshi watu hawa hata kama ila mmoja atapata kipande kidogo tu!”
John 14:8Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba, nasi tutatosheka.”