Yohana 14:8
Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba, nasi tutatosheka.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Philip saith unto him, Lord, shew us the Father, and it sufficeth us.
In Context
7Ikiwa mnanijua mimi mnamjua na Baba yangu pia. Na tangu sasa, mnamjua, tena mmekwisha mwona.”
Cross References
John 1:43Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”
John 12:21Hao walimwendea Filipo, mwenyeji wa Bethsaida katika Galilaya, wakasema, “Mheshimiwa, tunataka kumwona Yesu.”
Revelation 22:3Hapana kitu chochote kilicholaaniwa kitakachokuwa katika mji huo. Kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwanakondoo kitakuwa katika mji huo, na watumishi wake watamwabudu.