Yohana 10:6
Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
5Kondoo hao hawawezi kumfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake.”
7Basi, akasema tena, “Kweli nawaambieni, mimi ni mlango wa kondoo.
Cross References
Matthew 13:13Ndiyo maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.
John 6:52Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati yao:
John 7:36Ana maana gani anaposema: Mtanitafuta lakini hamtanipata, na mahali nitakapokuwa ninyi hamwezi kufika?”