Yohana 10:7
Basi, akasema tena, “Kweli nawaambieni, mimi ni mlango wa kondoo.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then said Jesus unto them again, Verily, verily, I say unto you, I am the door of the sheep.
In Context
6Yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia.
8Wale wengine wote waliokuja kabla yangu ni wezi na wanyang'anyi, nao kondoo hawakuwasikiliza.
Cross References
John 10:1Yesu alisema “Kweli nawaambieni, yeyote yule asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia mlangoni, bali hupenya na kuingia kwa njia nyingine, huyo ni mwizi na mnyang'anyi.
John 14:6Yesu akamjibu, “Mimi ni njia, na ukweli na uzima. Hakuna awezaye kwenda kwa Baba ila kwa kupitia kwangu.
Hebrews 10:19Basi, ndugu, kwa damu ya Yesu tunapewa moyo thabiti wa kuingia Mahali Patakatifu.