Yohana 11:18
Kijiji cha Bethania kilikuwa karibu na Yerusalemu umbali upatao kilomita tatu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now Bethany was nigh unto Jerusalem, about fifteen furlongs off:
In Context
17Yesu alipofika huko alikuta Lazaro amekwisha kaa kaburini kwa siku nne.
19Wayahudi wengi walikuwa wamefika kwa Martha na Maria kuwafariji kwa kifo cha kaka yao.
Cross References
John 6:19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda umbali wa kilomita tano au sita, walimwona Yesu akitembea juu ya maji, anakaribia mashua; wakaogopa sana.
Revelation 14:20Zabibu zikakamuliwa ndani ya hilo shinikizo lililoko nje ya mji, na damu ikatoka katika shinikizo hilo mtiririko mrefu kiasi cha mita mia tatu na kina chake kiasi cha mita mia mbili.