Yohana 11:43
Alipokwisha sema hayo, akaita kwa sauti kubwa: “Lazaro! Toka nje!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And when he thus had spoken, he cried with a loud voice, Lazarus, come forth.
In Context
Cross References
Luke 7:14Kisha akaenda, akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wanalichukua wakasimama. Halafu akasema, “Kijana! Nakuamuru, amka!”
Acts 3:12Basi, Petro alipowaona watu hao akawaambia, “Wananchi wa Israeli, kwa nini mnashangazwa na jambo hili? Mbona mnatukodolea macho kana kwamba ni kwa nguvu zetu au utakatifu wetu sisi wenyewe tumemfanya mtu huyu aweze kutembea?
Acts 9:40Petro aliwatoa nje wote, akapiga magoti, akasali. Kisha akamgeukia yule maiti, akasema, “Tabitha, amka” Naye akafumbua macho yake na alipomwona Petro, akaketi.