Luka 7:14
Kisha akaenda, akaligusa lile jeneza, na wale waliokuwa wanalichukua wakasimama. Halafu akasema, “Kijana! Nakuamuru, amka!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
13Bwana alipomwona mama huyo, alimwonea huruma, akamwambia, “Usilie.”
15Yule aliyekufa akaketi, akaanza kuongea. Na Yesu akamkabidhi kwa mama yake.
Cross References
Luke 7:17Habari hizo zikaenea kote katika Uyahudi na katika nchi za jirani.
John 5:21Kama vile Baba huwafufua wafu na kuwapa uzima, vivyo hivyo naye Mwana huwapa uzima wale anaopenda.
John 5:28Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,