Yohana 12:14
Yesu akampata mwana punda mmoja akapanda juu yake kama yasemavyo Maandiko:
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Jesus, when he had found a young ass, sat thereon; as it is written,
In Context
15“Usiogope mji wa Sioni! Tazama, Mfalme wako anakuja, Amepanda mwana punda.”
Cross References
Mark 11:1Walipokuwa wanakaribia Yerusalemu walifika Bethfage na Bethania, karibu na mlima wa Mizeituni. Hapo aliwatuma wawili wa wanafunzi wake,