Yohana 12:5
“Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari mia tatu, wakapewa maskini?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Why was not this ointment sold for three hundred pence, and given to the poor?
In Context
4Basi, Yuda Iskarioti, mmoja wa wale kumi na wawili ambaye ndiye atakayemsaliti Yesu, akasema,
Cross References
Matthew 26:8Wanafunzi wake walipoona hayo wakakasirika, wakasema, “Ya nini hasara hii?
Mark 14:4Baadhi ya watu waliokuwa hapo walikasirika wakajisemea, “Kwa nini kupoteza ovyo marashi haya?
Luke 12:33Uzeni mali yenu mkawape maskini misaada. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, na jiwekeeni hazina mbinguni ambako haitapungua. Huko wezi hawakaribii, wala nondo hawaharibu.