Yohana 14:22
Yuda (si yule Iskarioti) akamwambia, “Bwana, itawezekanaje wewe kujidhihirisha kwetu na si kwa ulimwengu?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 10:3Filipo na Bartholomayo, Thoma na Mathayo aliyekuwa mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
Luke 6:16Yuda wa Yakobo na Yuda Iskarioti ambaye baadaye alikuwa msaliti.
John 3:9Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
John 6:52Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati yao:
John 16:17Hapo baadhi ya wanafunzi wake wakaulizana, “Ana maana gani anapotwambia: Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona; na baada ya kitambo kidogo tena mtaniona? Tena anasema: Kwa kuwa ninakwenda kwa Baba!”
Acts 10:40lakini Mungu alimfufua siku ya tatu, akamfanya aonekane