Yohana 3:9
Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Nicodemus answered and said unto him, How can these things be?
In Context
10Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israel na huyajui mambo haya?
Cross References
Luke 1:34Maria akamjibu, “Yatawezekanaje hayo, hali mimi ni bikira?”
John 6:52Ndipo Wayahudi wakaanza kubishana kati yao: