Yohana 14:29
Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And now I have told you before it come to pass, that, when it is come to pass, ye might believe.
In Context
30Sitasema nanyi tena mambo mengi, maana mtawala wa ulimwengu huu anakuja. Kwangu mimi hawezi kitu;
Cross References
John 13:19Mimi nimewaambieni mambo haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini kuwa mimi ndimi.