Yohana 14:28
Mlikwisha sikia nikiwaambieni: Ninakwenda zangu, kisha nitarudi tena kwenu. Kama mngalinipenda mngalifurahi kwa sababu ninakwenda kwa Baba, maana yeye ni mkuu kuliko mimi.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
29Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini.
Cross References
Luke 24:51Alipokuwa anawabariki, akawaacha; akachukuliwa mbinguni.
John 10:29Baba yangu ambaye ndiye aliyenipa hao ni mkuu kuliko wote, wale hakuna awezaye kuwatoa mikononi mwake Baba.
John 13:16Kweli nawaambieni, mtumishi si mkuu zaidi kuliko bwana wake, wala mtume si mkuu zaidi kuliko yule aliyemtuma.