Yohana 16:12
“Ninayo bado mengi ya kuwaambieni, ila kwa sasa hamwezi kuyastahimili.
Biblia Takatifu
In The King James Version
I have yet many things to say unto you, but ye cannot bear them now.
In Context
11kuhusu hukumu kwa sababu mkuu wa ulimwengu huu amekwisha hukumiwa.
Cross References
John 14:30Sitasema nanyi tena mambo mengi, maana mtawala wa ulimwengu huu anakuja. Kwangu mimi hawezi kitu;
Acts 1:3Kwa muda wa siku arobaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. Walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa Mungu.
Hebrews 5:11Tunayo Mengi ya kusema juu ya jambo hili, lakini ni vigumu kuwaelezeni, kwa sababu ninyi si wepesi wa kuelewa.