Yohana 16:9
Wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini;
Biblia Takatifu
In The King James Version
Of sin, because they believe not on me;
In Context
10kuhusu uadilifu, kwa sababu naenda zangu kwa Baba, nanyi hamtaniona tena;
Cross References
Mark 16:16Anayeamini na kubatizwa ataokolewa; asiyeamini atahukumiwa.
John 5:40Hata hivyo, ninyi hamtaki kuja kwangu ili mpate uzima.
John 8:42Yesu akawaambia, “Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda mimi, maana mimi nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa mamlaka yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.
John 15:22Kama nisingalikuja na kusema nao wasingalikuwa na hatia; lakini sasa hawawezi kujitetea kwamba hawana dhambi.
Acts 3:14Alikuwa mtakatifu na mwema; lakini ninyi mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe.
Acts 26:9Kwa kweli mimi mwenyewe niliamini kwamba ni wajibu wangu kufanya mambo mengi kulipinga jina la Yesu wa Nazareti.