Yohana 18:7
Yesu akawauliza tena, “Mnamtafuta nani?” Wakamjibu, “Yesu wa Nazareti!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Then asked he them again, Whom seek ye? And they said, Jesus of Nazareth.
In Context
6Basi, Yesu alipowaambia: “Mimi ndiye”, wakarudi nyuma, wakaanguka chini.
Cross References
John 18:4Yesu, hali akijua yote yatakayompata, akatokea, akawauliza, “Mnamtafuta nani?”