Yohana 19:27
Halafu akamwambia yule mwanafunzi: “Tazama, huyo ndiye mama yako.” Na tangu saa ile huyo mwanafunzi alimchukua akae nyumbani kwake.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 25:40Mfalme atawajibu, Kweli nawaambieni, kila kitu mlichomtendea mmojawapo wa hawa ndugu zangu wadogo, mlinitendea mimi.
John 1:11Alikuja katika nchi yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.
Acts 21:6Kisha tuliagana; sisi tukapanda meli nao wakarudi makwao.
1 John 3:18Watoto wangu, upendo wetu usiwe maneno matupu, bali uwe upendo wa kweli na wa vitendo.