Yohana 2:4
Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Jesus saith unto her, Woman, what have I to do with thee? mine hour is not yet come.
In Context
3Divai ilipokwisha, mama yake akamwambia, “Hawana divai!”
5Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.”
Cross References
Matthew 15:28Hapo Yesu akamjibu, “Mama, imani yako ni kubwa; basi, ufanyiwe kama unavyotaka.” Yule binti yake akapona tangu saa hiyo wakati huohuo.
John 7:6Basi, Yesu akawaambia, “Wakati wangu ufaao haujafika bado. Lakini kwenu ninyi kila wakati unafaa.
John 8:20Yesu alisema maneno hayo kwenye chumba cha hazina alipokuwa anafundisha Hekaluni. Wala hakuna mtu aliyemtia nguvuni, kwa sababu saa yake ilikuwa haijafika bado.
John 13:1Ilikuwa kabla ya sikukuu ya Pasaka. Yesu alijua kwamba saa yake ya kuondoka ulimwenguni na kwenda kwa Baba ilikuwa imefika. Alikuwa amewapenda daima watu wake walioko duniani; naam, aliwapenda mpaka mwisho!