Yohana 2:5
Hapo mama yake akawaambia watumishi, “Lolote atakalowaambieni, fanyeni.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
His mother saith unto the servants, Whatsoever he saith unto you, do it.
In Context
4Yesu akamjibu, “Mama, usiniambie la kufanya. Saa yangu bado.”
Cross References
Luke 5:5Simoni akamjibu, “Bwana, tumejitahidi kuvua samaki usiku kucha bila kupata kitu, lakini kwa kuwa umesema, nitatupa nyavu.”
John 15:14Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.
Hebrews 5:9Na alipofanywa mkamilifu, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wale wote wanaomtii,