Yohana 20:28
Thoma akamjibu, “Bwana wangu na Mungu wangu!”
Biblia Takatifu
In The King James Version
And Thomas answered and said unto him, My Lord and my God.
In Context
29Yesu akamwambia, “Je, unaamini kwa kuwa umeniona? Heri yao wale ambao hawajaona, lakini wameamini.”
Cross References
Luke 24:52Wao wakamwabudu, wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa: