Luka 24:52
Wao wakamwabudu, wakarudi Yerusalemu wakiwa na furaha kubwa:
Biblia Takatifu
In The King James Version
And they worshipped him, and returned to Jerusalem with great joy:
In Context
51Alipokuwa anawabariki, akawaacha; akachukuliwa mbinguni.
53wakakaa muda wote Hekaluni wakimsifu Mungu.
Cross References
Matthew 28:9Mara, Yesu akakutana nao, akawasalimu: “Salamu.” Hao wanawake wakamwendea, wakapiga magoti mbele yake, wakashika miguu yake.
John 14:28Mlikwisha sikia nikiwaambieni: Ninakwenda zangu, kisha nitarudi tena kwenu. Kama mngalinipenda mngalifurahi kwa sababu ninakwenda kwa Baba, maana yeye ni mkuu kuliko mimi.
John 16:22Ninyi pia mna huzuni sasa; lakini nitawajieni tena, nanyi mtajaa furaha mioyoni mwenu, na furaha hiyo hakuna mtu atakayeiondoa kwenu.
1 Peter 1:8Ninyi mnampenda ingawaje hamjamwona, na mnamwamini ingawa hamumwoni sasa. Hivyo, mnafurahi kwa furaha tukufu isiyoelezeka,