Yohana 3:8
Upepo huvuma kuelekea upendako; waisikia sauti yake, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda. Ndivyo ilivyo kwa mtu aliyezaliwa kwa Roho.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7Usistaajabu kwamba nimekwambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya.
9Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?”
Cross References
Mark 4:26Yesu akaendelea kusema, “Ufalme wa Mungu ni kama ifuatavyo. Mtu hupanda mbegu shambani.
John 1:13Hawa wamekuwa watoto wa Mungu si kwa uwezo wa kibinadamu, wala kwa nguvu za kimwili, wala kwa mapenzi ya mtu, bali Mungu mwenyewe ndiye baba yao.