Yohana 4:16
Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo uje naye hapa.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
Jesus saith unto her, Go, call thy husband, and come hither.
In Context
17Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume.
Cross References
John 1:47Yesu alipomwona Nathanieli akimjia alisema juu yake, “Tazameni! Huyo ni Mwisraeli halisi: hamna hila ndani yake.”
John 4:18Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”
Hebrews 4:13Hakuna kiumbe chochote kilichofichika mbele ya Mungu; kila kitu kimefunuliwa wazi mbele ya macho yake. Kwake, sisi sote tutapaswa kutoa hoja ya matendo yetu.