Yohana 4:18
Maana umekuwa na waume watano, na huyo unayeishi naye sasa si mume wako. Hapo umesema kweli.”
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
17Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume.
19Huyo Mwanamke akamwambia, “Mheshimiwa, naona ya kuwa wewe u nabii.
Cross References
John 4:16Yesu akamwambia, “Nenda ukamwite mumeo uje naye hapa.”