Yohana 4:43
Baada ya siku mbili Yesu aliondoka hapo, akaenda Galilaya.
Biblia Takatifu
In The King James Version
Now after two days he departed thence, and went into Galilee.
In Context
44Maana Yesu mwenyewe alisema waziwazi kwamba, “Nabii hapati heshima katika nchi yake.”
Cross References
Matthew 4:13Aliondoka Nazareti, akaenda Kafarnaumu, mji ulio kando ya bahari ya Genesareti, mpakani mwa wilaya za Zabuloni na Naftali, akakaa huko.
Mark 7:27Yesu akamwambia, “Kwanza watoto washibe; kwa maana si vizuri kuchukua chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.”
John 4:40Wasamaria walimwendea Yesu wakamwomba akae nao; naye akakaa hapo siku mbili.
Romans 15:8Maana, nawaambieni Kristo aliwatumikia Wayahudi apate kuonyesha uaminifu wa Mungu, na zile ahadi Mungu alizowapa babu zetu zipate kutimia;