Warumi 15:8
Maana, nawaambieni Kristo aliwatumikia Wayahudi apate kuonyesha uaminifu wa Mungu, na zile ahadi Mungu alizowapa babu zetu zipate kutimia;
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
7Basi, karibishaneni kwa ajili ya utukufu wa Mungu kama naye Kristo alivyowakaribisheni.
Cross References
Matthew 15:24Yesu akajibu, “Sikutumwa ila kwa watu wa Israeli waliopotea kama kondoo.”
Luke 1:54Amemsaidia Israeli mtumishi wake, akikumbuka huruma yake.
John 1:11Alikuja katika nchi yake mwenyewe, nao walio wake hawakumpokea.
Acts 3:25Ahadi zile Mungu alizotoa kwa njia ya manabii ni kwa ajili yenu; na mnashiriki lile agano Mungu alilofanya na babu zenu, kama alivyomwambia Abrahamu: Kwa njia ya wazawa wako, jamaa zote za dunia zitabarikiwa.
Romans 3:3Lakini itakuwaje iwapo baadhi yao hawakuwa waaminifu? Je, jambo hilo litaondoa uaminifu wa Mungu?