Yohana 5:27
Tena amempa mamlaka ya kuhukumu kwa sababu yeye ni Mwana wa Mtu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And hath given him authority to execute judgment also, because he is the Son of man.
In Context
26Kama vile Baba alivyo asili ya uhai, ndivyo pia alivyomjalia Mwanawe kuwa asili ya uhai.
28Msistaajabie jambo hili; maana wakati unakuja ambapo wote waliomo makaburini wataisikia sauti yake,
Cross References
John 5:22Baba hamhukumu mtu yeyote; shughuli yote ya hukumu amemkabidhi Mwana,
Acts 17:31Kwa maana amekwisha weka siku ambayo atauhukumu ulimwengu kwa haki kwa njia ya mtu mmoja aliyemteua. Mungu amewathibitishia wote jambo hili kwa kumfufua mtu huyo kutoka wafu!”
Ephesians 1:20aliyomfufua nayo Kristo kutoka wafu, akamketisha kulia kwake mbinguni.
Hebrews 2:7Ulimfanya kwa kitambo kidogo kuwa chini zaidi kuliko malaika; ukamvika taji ya utukufu na heshima,