Yohana 6:4
Sikukuu ya Wayahudi iitwayo Pasaka ilikuwa imekaribia.
Biblia Takatifu
In The King James Version
And the passover, a feast of the Jews, was nigh.
In Context
3Yesu alipanda mlimani, akaketi pamoja na wanafunzi wake.
Cross References
John 5:1Baada ya hayo kulikuwa na sikukuu ya Wayahudi, naye Yesu akaenda Yerusalemu.
John 12:1Siku sita kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu alifika Bethania alikoishi Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua kutoka wafu.