Yohana 12:1
Siku sita kabla ya sikukuu ya Pasaka, Yesu alifika Bethania alikoishi Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua kutoka wafu.
Biblia Takatifu
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 21:17Basi, akawaacha, akatoka nje ya mji na kwenda Bethania, akalala huko.
Mark 11:11Yesu aliingia mjini Yerusalemu akaenda moja kwa moja mpaka Hekaluni, akatazama kila kitu kwa makini. Lakini kwa vile ilikwisha kuwa jioni, akaenda Bethania pamoja na wale kumi na wawili.
Luke 24:50Kisha akawaongoza nje ya mji hadi Bethania, akainua mikono yake juu, akawabariki.
John 11:44Huyo aliyekuwa amekufa akatoka nje, huku amefungwa sanda miguu na mikono, na uso wake umefunikwa. Yesu akawaambia, “Mfungueni, mkamwache aende zake.”
John 12:20Kulikuwa na Wagiriki kadhaa miongoni mwa watu waliokuwa wamefika Yerusalemu kuabudu wakati wa sikukuu hiyo.